Tangazo jipya la kuwaondosha zaidi ya familia mia tano katika mtaa wa kikwajuni kwa kuwapa wawekezaji ni kitendo kisicho kubalika kabisa.
Tangu alipoapishwa kuwa raisi, Mwinyi amekuwa ni kitendawili kwa jamii yetu. Fukwe za bahari zote zimepewa wawekezaji kwa kujenga mahoteli ya kitalii. Mitaa...