Hivi ndivyo mwisho wa wanaume wengi kwenye mahusiano yao hasa wale wanaosikiliza sana machozi ya mwanamke na kuwajali zaidi kuliko kujipa wao kwanza kipaumbele.
Mwanamke ambaye hajatoka kwenye familia yako na mmekutana tu naye ukubwani siyo ndugu yako na hatofikiria mara 2 kukuchinjia baharini...