mwita getere

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbunge Getere aomba radhi kwa kauli yake kuhusu Boom

    "Mimi nakubali nimeomba radhi inawezekana ile kauli imewaudhi wengi, lakini mimi bado ni mtetezi wao wa kwenye matumizi na kuwasaidia kusoma vizuri kwa kuhakikisha wanafunzi wote wanalipiwa ada halafu tukawalipia matumizi (Boom) kwa hizo asilimia zilizopo," - Mwita Getere, Mbunge wa Bunda...
  2. Mbunge Getere: Boom lifutwe, wanafunzi wanatumia kulewea

    Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa. Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo kwa sababu wenye uhitaji. My Take Naunga mkono hoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…