SWALI: Nafikiri kuna kama matatizo mawili yanayoikabili Afrika, na hilo ni pengo kati ya mfumo wa kisiasa wa taifa la kisasa na kiwango cha hali ya juu cha ustadi wa kiteknolojia na kiuchumi kinachohitajika katika kutengeneza taifa. Na nafikiri watu wanapozungumzia uhuru kuja haraka sana...
MATARAJIO YA WAASISI WA CCM vs. KINACHOENDELEA
________________________
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania...
Yaani hata kile cha kuombea maji au kusalimiana au kujitambulisha tu kwa walugha wenzio.
Haya ni matokeo ya fikra na falsafa chanya ya Baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere katika kupiga vita na kutokomeza mipaka na ubaguzi wa kikabila nchini.
Kwa mafanikio na matokeo haya, nadhani nia yake hii...
Katika Maisha tunajifunza kuwa, kila mtu haijalishi ni umri, rika, jinsia, ama uwezo alio nao huwa una msukumo katika kufanya jambo Fulani. Jambo hilo linaweza kuwa kwa ajili yake, ama kwa ajili ya jamaa wanao mzunguka. Kwa mfano tunapokuwa Watoto mara nyingi tunakuwa na akili ya kufanya vitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.