Leo hapa jijini kunafanyika kongamano la miaka 100 tangia kuzaliwa kwa Baba wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere, 1922 huko Butiama mkoani Mara
Vijana wengi wa sasa hatukubahatika kumuona Mwl. Nyerere Bali tunamsoma tu vitabuni na kuskia masimulizi kumhusu.
Mfano:
1. Kwamba Mwl...