Wakuu, habari ya wakati huu! Nimeapply formula ya Concatinate nikaweka semi colon kama alama ya kuseparate data ambazo zimekuwa combined.
Yaani =CONCA(A4,";"B4,";",C4,";",D4).
Nimefanikiwa ila baadhi ya cell zipo blank nataka cell zilizo blank semi colon isitokee, msaada tafadhali. Maama semi...