Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Christian Makonda (Mb), ametangaza kutotambua matangazo ya jezi mpya za Timu za Taifa.
Hatua hii imekuja baada ya mchakato wa kubadilisha jezi hizo kufanyika bila kuishirikisha Wizara, kinyume na maelekezo yaliyotolewa hapo awali mwezi...