mzalendo kijana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. machala

    Nmejaribu kuangalia mwenendo wa malipo yangu kwenye akaunti ya NSSF, nimekuta claim status imeandika pending, Hii ina maana gani?

    Habari za jion wa wakuu, Leo nimejaribu kuangalia mwenendo wa malipo yangu kwenye account yangu ya NSSF imekuta claim status imeandika pending hii inamaana gani? Na ni takribani wiki ya nne tangu ni wasilishi fomu. Ahsanteni
  2. N

    SoC03 Bandari Dar es Salaam na anayehusika

    NENO LA MUNGU LINASEMA: "Kila mtu na aitii MAMLAKA iliyo KUU; kwa maana HAKUNA MAMLAKA ISIYOTOKA KWA MUNGU; na ile iliyopo umeamriwa na MUNGU. Hivyo amwasiye mwenye MAMLAKA hushindana na AGIZO LA MUNGU; nao washindanao watajipatia hukumu. Kwa maana watawalao hawatishi watu kwa sababu ya matendo...
  3. Y

    SoC03 Siasa, Uongozi, Utawala na Uwajibikaji: Nini hatima ya Tanzania yetu?

    Siasa, uongozi, na utawala ni mada ambazo zinaweza kuwa ngumu kuzungumza juu yake kwa sababu zinahusisha masuala magumu ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Hata hivyo, mada hizi zina umuhimu mkubwa katika jamii kwa sababu zinaweza kusababisha athari za kudumu kwa raia wote. Katika makala hii...
Back
Top Bottom