Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada kuu.
Mimi hapa nimezaliwa mjini Daslamu miaka mingi nyuma kabla ya mwaka 2000, kwa mazingira niliyokulia na watu wengi tulioishi nao ni Wazarumo. Lakini cha kushangaza sikuwahi kuona Mzaramo Mkirstu wengi tulioishi nao mpaka leo ni Waislamu, hii...