Hili ni sofa brand ya Lorenzo Leather ambalo kwa moja kama hilo ubaoni ni Sh. Milioni 5 na Laki 6 (5,645,000)
Kwa Mzee Bakhressa hiyo ni bei ya kawaida tu, ila kwangu mimi napata kabisa kiwanja Chanika huko.
Ukiwa na sebule kubwa ukihitaji kama manne basi andaa kuanzia Milioni 21 na kuendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.