Niliuliza swali hapa, Hivi Dola na CCM Ina uhakika kua Wagombea wa mkutano Mkuu , wanauzika? Hawajaingizwa kwenye mtego wa matumizi makubwa ya nguvu?.
Kilichotokea DODOMA ni mshangao , hamna lugha ya kufaa yakutosha kuelezea !! Ni Kikundi cha watu wachache sana ,kilichofanya Siri kubwa sana...
1.Nchimbi alimsafisha Mbowe mapema sana
https://youtube.com/shorts/VuTy8LLhe4s?si=PHahPqXk2sRY40B_
2.Mzee kibao hakuwa mtu wa mitandaoni na msemaji sana kama tulivyoona kwa watekwaji wengine
3.Kauli ya Tundu lissu kuwa alikuwa na ushahidi wa Rushwa ya Abdul
4.Historia za matukio ya nyuma ya...
Najiuliza tu, kwa nini Lissu hajawahi kwenda Tanga kuhani msiba wa Mzee Kibao, na katika hotuba zake,mbali na kugombania madaraka ya uenyekiti na urais, hata hajawahi kuwataja akina Soka?
Kwanza nalaani haya mauaji yote
Mauaji yote chanzo ni hapo Tegeta
Wananchi kuchukua sheria mikononi na kuuwa sio jambo zuri, wote tunalilaani
Mzee Kibao alikufa Toka mwezi September hadi Leo hatujaona hao watekaji na wauaji wa Mzee Kibao kukamatwa na japo waliacha kila alama.
Mzee Kibao...
Familia ya Mzee Ali Kibao kupitia Mohamed Ali Kibao ambaye ni mtoto wa Mzee Kibao, imeomba uwepo wa uwazi na haki katika uchunguzi wa mauaji dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji ya Mzee Ali Kibao huku ikimsihi Rais Samia Suluhu Hassan, kutoa kauli kali dhidi ya wahusika ili kurejesha imani kwa...
Mzee Kibao alitekwa kwenye bus la kwenda Tanga, @godbless_lema ametekwa kwenye ndege na shirika la ndege likaa kimya na ABIRI wenye iPhone zao wakakaa kimya na wakaficha taarifa
halafu kuna wapumbavu uwa wanasema kudai HAKI ni sababu hatujaelemika, Walio kuwa kwenye ndege na Lema akiwemo...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amewaasa wanasiasa wa vyama vya upinzani kuwa watulivu, wakati huu ambao serikali inafanya uchunguzi juu ya kukithiri kwa vitendo vya utekaji na mauaji vinavyochafua taswira ya Taifa.
Chanzo...
Mwanaharakati huru kama anavyojiita, Cyprian Musiba amesema kama mtanzania ameumia sana na matukio ya utekaji na kupotezwa kwa watu hususan tukio la hivi karibuni la kuuawa kwa Ali Mohammed Kibao. Hata hivyo, amesema kama mtanzania anapinga kutumia matukio kama haya kuanza kushambulia watu...
Aliyosema Mnyika:
Basi lilikuwa blocked na Land Cruiser hard top 2. Watu wawili wenye silaha walibaki nje na wawili wakaingia kwenye basi.
Hawakujitambulisha kama polisi.
Walikuwa na bunduki zitumiwazo na usalama wa taifa. Waliomchukua watakuwa usalama wa taifa.
"Hawa hawakuwa polisi."...
Timu ya uchunguzi wa matukio makubwa toka Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai toka Makao Makuu imetumwa kuongeza nguvu ili kuhakikisha waliofanya mauaji ya Ali Kibao Kada wa CHADEMA wanakamatwa na kufikishwa mahakamani.
Jana Septemba 7, 2024 Jeshi la Polisi lilitoa taarifa juu...
Hilo tukio la kutekwa Kwa Mzee Kibao halikufanywa sirini, limefanywa mchana kweupe na hao watekaji Wala hawakuwa na hofu, kwa kuwa walimshusha toka Kwenye Bus la Tashriff, lililokuwa linaelekea Tanga, eneo la Tegeta Kibo complex.
Mashuhuda wa tukio Hilo la kutekwa Kwa Mzee Kibao na hatimaye...
Alipouwawa Professor Jwani Mwaikusa (sidhani kama nimepatia jina) na aliposhambuliwa Dr Ulimboka, na alipotekwa Mo Dewji, Jeshi la Polisi lilikuja mbele ya media na "Wahalifu" ambao sijui Hadi Leo waliishia wapi.
Nawasihi Sana, tusiendelee kuchezea uhai wa watu, Kuna Leo kuna Kesho, madaraka...
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema wanatarajia kupokea taarifa ya Uchunguzi kuhusu kifo cha aliyekuwa Mshauri wa chama hicho, Ali M. Kibao aliyeripotiwa kuuawa na watu wasiojulikana na kueleza ikiwa tofauti na walichoona wataipinga
Mbowe amesema hayo baada ya zoezi la uchunguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.