mzee kigogo

  1. LGE2024 Jaji Warioba: Wapinzani Waliniambia Wangeweza Kupata Ushindi Kwa 25% tu

    Swali. Kama hivi ndivyo,Kwa nini CCM mnakuwa wadogo wa madaraka wakati kiuhalisia Wapinzani hawana uwezo wa kushindana na kushinda? My Take Ni vyema CCM ikajifunza Namibia sio lazima ushinde Kila pointi ndio uhasabiwe umeshinda. Wapinzani wakishinda watangazwe Ili kuepusha chuki na sintofahamu...
  2. iraisers ni kina nani? Sio matapeli kweli?

    Kuna mdau aliniambia kuhusu hawa watu lkn sikutaka kumuamini mapema nikaona nilete huku kwa wadau nikiamini nitapata mrejesho mzuri kuhusu hawa watu. Kwa kifupi aliniambia ili uwe mwanachama wa iraisers ni lazima utoe kiingilio Tsh 40000 baada ya hapo kila unapoweka pesa utalipwa 30% ya dau...
  3. Tetesi: Russia imeingia Libya

    Kuna habari za kuaminika Kuwa Russia ameingia Libya na anawaunga mkono Haftar na pia amewapa silaha nzito, Pia kuna wanausalama wa GRU na vikosi toka Russia vimepelekwa Mashariki mwa Libya kwa kutoa mafunzo.. pia kuna kambi kubwa mbili huko Tobruk na Baghaz pia inaaminika siraha na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…