Leo katika Kijiji cha Katendagulo, Kata ya Bugandika, Tarafa ya Kiziba, Wilaya ya Missenye, Mkoa wa Kagera kulikuwa na Sherehe ya Kuzaliwa ya Mzee Leopold Rwizandekwe II. Kumbuka huyu Mzee, Mwl. Nyerere akiwa Uingereza alimkabidhi glass yake ya wine alipoitwa kwenda kutoa neno kwenye podium...