Freeman Mbowe ni Kiongozi mzuri ila kama walivyo Wafanyabiashara wengine wote anaangalia kwanza Faida katika jambo lolote Lile na CCM iliutumia vizuri sana huu udhaifu wake.
Tundu Lisu ni tofauti yeye ni mwanaharakati na Tanzania Kwa sababu ilishajipatia Uhuru wake Kutoka Kwa Mkoloni...
CHADEMA ni chama cha umma kinachoendeshwa kwa kodi za wananchi.
Ni vema ratiba ya Uchaguzi wa Viongozi wake ikatolewa mapema ili kuepuka undugunization huko mbele ya safari.
Igeni CCM ambako ni marufuku ndugu kubebana.
Wednesday, ubarikiwe sana!