mzee ruksa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    Buriani Mzee Ruksa: Ni Deng Xiaoping Wetu wa Mageuzi ya Kiuchumi, Demokrasia, Haki za Binadamu na Uhuru wa Habari. Asante kwa Ruksa Zako, Pumzika!

    Wanabodi Siku ya leo, tunampunzisha Mzee wetu, Rais Mtaafu wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi, kwa jina maarufu la Mzee Rukhsa, kwenye nyumba yake ya malalo ya makao ya milele. Mara ya Kwanza Kulisikia Jina la Ali Hassan Mwinyi. Kwa mara ya kwanza jina la Ali Hassan Mwinyi, nililisikia mwaka...
  2. Sky Eclat

    Usafiri wa Chai Maharage enzi za Mzee Ruksa

  3. kavulata

    Mechi ya Simba na Yanga iliaihirishwa na Mzee Ruksa?

    Viongozi wetu wakuu nchini ni wapenzi wa waziwazi wa simba na yanga. Mfano, Mheshimiwa Makamu wa Rais na waziri wa fedha ni shabiki lialia wa Yanga, Waziri Mkuu na Spika ni mashabiki lialia wa simba. Viongozi hawa wote walikuwa kwenye birthday na uzinduzi wa Kitabu cha Mzee Mwinyi siku na...
  4. J

    Mzee Mwinyi: Nilijilaumu kwa kuliachia Bunge hadi likapitisha hoja ya Serikali ya Tanganyika, Mtikila aliisumbua Serikali yangu

    Rais Mwinyi anasema alijutia namna alivyoliachia bunge hadi likafikia hatua ya kupiga kura na kuwaunga mkono kundi la wabunge waliojulikana kama G55 waliodai Serikali ya Tanganyika. Lakini hatimaye jambo hili lilienda kukwamishwa na vikao vikuu vya CCM na kutupiliwa mbali. Kadhalika Mwinyi...
  5. Son of Gamba

    Awamu ya Mama Samia Suluhu Hassan itakuwa kama ya Mzee Ruksa

    Kwa jicho la tatu nauona utawala wa Samia Suluhu Hassan (SSH) ukienda kufanana ama kushahabiana na utawala wa awamu ya pili wa Mzee Ruksa. Samia Suluhu Hassan ni Mzanzibari na Mzee Mwinyi pia alikuwa Mzanzibari. Hata kimuonekano tu na jinsi wanavyoongea, wote hawa wawili wana haiba fulani hivi...
  6. Informer

    Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi afikisha miaka 95. Heri ya kuzaliwa Mzee Ruksa!

    Ali Hassan Mwinyi (amezaliwa 8 Mei 1925) alikuwa Rais wa Pili wa Tanzania kuanzia 1985 hadi 1995. Aliyemtangulia ni Mwalimu Julius Nyerere, na aliyemfuata ni Benjamin Mkapa. Pia, Mwinyi alikuwa mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia 1990 hadi 1996. Mzee Mwinyi aliwahi pia kuwa Rais...
Back
Top Bottom