Said Ngamba "Mzee Small"
Taarifa tulzozipata hivi punde kuwa muigizaji Said Ngamba au Mzee Small Amefariki dunia baada ya kuugua muda mrefu.
Mzee Small alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Kiharusi kwa kipindi kirefu.
Chanzo cha taarifa hizi ni Mtoto wake wa kiume Mahmudu (Mongamba) ambaye...