Nimepata kukutana na marafiki zangu kadhaa na wamekuwa wakidai kuwa, wao hawapendi kabsa kutumia kondomu wakiwa kwenye faragha zao, huku wakidai kuwa mafuta au vilainishi vilivyomo ndani ya Kondomu zinawafanya wapate upele pamoja na miwasho.
Naomba kuuliza, Je ni kweli matumizi ya Kondomu...