Awali mlianzisha propaganda kwamba kumbakiza Aziz ki ni ngumu maana timu nyingi kubwa afrika zinamuwania.Lengo muonekano mmempambania sana mpaka mmewin vita ya kuzishinda timu kubwa za Afrika.
Lengo mashabiki na wanachama wawaone "mnafight" sana kumbe nyuma ya pazia mufanikishe exploitation Kwa...
- Wydad Casablanca wanamtaka mshambuliaji Clement Mzize (20).
Ofa ya kwanza ya Wydad kwenda Yanga kwa ajili ya kuinasa saini ya Clement Mzize ilikuwa $100k Tsh 270 milioni na kipengele cha kuongeza pesa hadi kufika 400 million kutokana na Performance yake uwanjani.
Yanga wakaitupilia mbali...
Clement Mzize ambaye anadai kuzaliwa 2004 , yani sasa ana miaka 20 ambaye kwa sasa mkataaba wake na Yanga umeisha amegoma kusaini mkataba mpya.
Mzize amegoma mkataba mpya na anataka kupandishiwa dau.
Ikumbukwe Mzize alikuwa "afisa usafirishaji " -bodaboda Pale Igumbilo Iringa akivaa yebo yebo...