Katika uchumi kila namba ina umuhimu mkubwa either ni kubwa au ndogo hivi sasa Tanzania kwenye currency system sarafu ya Tshs 50 ndio kima cha chini kama means of exchange na Noti ya 10000 ndio kima cha juu.
Katika concept ya kawaida tunatarajia malipo yote yatapangwa kutokana na uwepo wa...