Nimeamka leo na taarifa ya msiba wa ndugu wa karibu aliyefariki jana usiku kutokana na ajali.
Kama umeshawahi kuondokewa na mpendwa wako, mzazi, rafiki wa karibu unajua maumivu makali ya kupoteza mtu ambaye alikuwepo kwenye maisha yako na ghafla hayupo tena.
Nayachukia sana maisha kila...