Hawa wote ni wazururaji tofauti yao huyu mmoja anazurura akitumia miguu yake huku huyu mwenzie yupo ndani ya gari.
Hawa wote ni wazururaji promax.
Kama uzururaji ni uhalifu basi hawa wote ni wahalifu.
Sasa inakuwaje huyu mwenda kwa miguu anashtukiwa na kutupwa kwenye karandinga chap wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.