na mtungi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J Mbungi

    Jiko la gesi (plate2) na mtungi wa gesi (30Kg) Vinauzwa Bei rahisi 70,000!! Madale-Dar es salaam.

    Jiko ni jipya nimelitumia mizi2 tu.. na mtungi una gesi kidogo ya kuanzia. Ni dharura (nasafri mkoani kwa dharura) naomba elf70 tu! Kama upo serious hata ukipungukiwa kidogo ilimradi initoshe nauli nayohitaji! Whatsapp/piga 0784355775 - nipo MADALE MWISHO- DAR ES SALAAM)
  2. J Mbungi

    Jiko la gesi (plate2) na mtungi wa gesi (30Kg) Vinauzwa Bei rahisi 70,000!! Madale-Dar es salaam.

    Jiko ni jipya nimelitumia mizi2 tu.. na mtungi una gesi kidogo ya kuanzia. Ni dharura (nasafri mkoani kwa dharura) naomba elf70 tu! Kama upo serious hata ukipungukiwa kidogo ilimradi initoshe nauli nayohitaji! Whatsapp/piga 0685308583 - nipo MADALE MWISHO- DAR ES SALAAM)
  3. Y

    Jiko la gesi na mtungi vinauzwa

    Hello, Nauza jiko la gesi na mtungi wake kama linavyoonekana.Havina tatizo lolote. Price: 120k Location: Rukwa
  4. M

    Wamama wa CCM wamekengeuka! Kwani posa ikiwa na mtungi wa gesi ndio akiolewa atakuwa anajaza gas bure?

    Pesa ya kujazia mitungi ya gas tabu. Kupata chakula tu ni tabu. Leo hii mnakomalia mitungi ya gaz
  5. BARD AI

    Waziri Makamba: Kila nyumba itakuwa na mtungi wa gesi

    Serikali imesema ina mikakati ya kuhakikisha kila nyumba inakuwa na mtungi wa gesi ya kupikia na kuandaa mifumo mbalimbali kupitia uvumbuzi wa kibiashara ikiwemo kutumia teknolojia ya kupima gesi kidogo kidogo. Hayo yamesemwa leo Ijumaa, Oktoba 21, 2022 na Waziri wa Nishati, January Makamba...
Back
Top Bottom