Katika Uislamu, kuzaliwa kwa Nabii Issa (Yesu, AS) kunahusiana na muujiza mkubwa wa Mwenyezi Mungu. Qur'an inamwelezea Nabii Issa kuwa ni miongoni mwa Manabii watukufu waliotumwa kwa Wana wa Israeli. Kuzaliwa kwake ni tukio maalum linaloonyesha uwezo wa Mwenyezi Mungu.
Kuzaliwa kwa Nabii Issa...
Kwa Mujibu wa Quran, yafuatayo ndiyo yalikuwa maajabu/mamlaka ya Nabii Issa.
1. Aliweza kuwaumba ndege kwa kufinyanga udongo na kuwapulizia pumzi ya uhai (Quran: 3-49).
2. Aliwafufua watu kutoka wafu (Quran:3-49).
3. Ndiye mtu aliyetajwa zaidi katika Quran, moja kwa moja mara 25 (ili hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.