Habari nduguzangu,
Mimi ni muhitimu wa diploma, nahitaji kuendelea na masomo ya degree, ila nina changamoto moja, ni kwamba kwenye account yangu ya kuomba AVN number nimesahau password na nikitaka ku reset inasema niweke number ya simu ya zamani ambayo kwa sasa siitumii, yaani sina kabisa hiyo...
Wanajamvi ikiwa leo ni jumapili tukufu huku tukisherekea sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar binafsi nina jambo linalonishangaza.
Ambalo ni michango inayoitwa ya Bima ya afya inayochukuliwa na vyuo vya serikali na vile vilivyoko chini ya NACTVET.
Ni jambo la kawaida kwa mwananchuo kutakiwa...
Hello habari,
Malalamiko yamekuwa mengi kwa wanafunzi wa clinical officer kwa vyuo vingi hapa Tanzania, wanafunzi wanafelishwa makusudi, vyuo vingi wanaopata pass hata robo ya darasa hawafiki, wanaopata sup wakienda kuzifanya wanafelishwa tena na wanapata Repeating Modules hivyo inawalazimu...
Mfumo wa NACTVET kushindwa kutoa AWARD VERIFICATION NUMBER.
USERNAME na PASSWORD walionitumia baada ya ku create account hazikubali ku log in na hata nikifanya FORGOT PASSWORD bado mfumo unanipa notification kwamba USER NAME na NAMBA YA SIMU sio Sahihi.
Halafu ukienda ofisini kwako pale...
Ikiwa Leo ni siku ya nne, najaribu kuingia kwenye system ya "NACTVET" Kuomba "AVN NUMBER" lakini sifanikiwi licha ya kuwa nimejisajili, ila system haijanipa nafasi ya kutengeneza password, na hata siwezi kuingia kabisa, na mbaya zaidi mfumo unload tu Wala hata haufunguki.
Ikiwa zimebakia siku...
Taasisi za Umma kama NACTVET Wamekuwa na tabia ya kupandisha bei za huduma bila sababu na hawatoi taarifa hivi karibuni.
NACTE wamepandisha huduma ya ACADEMIC TRANSCRIPT kutoka elfu 15 kwa wanaoombea zone na elfu 10 wanaoomba HQ,
sasa hivi ni 25,000 kwa wanaoomba zone.
HUDUMA ZA UMMA...
Habari zenu wana Jamii Forums.
Niende kwenye mada moja kwa moja, nimekua kwenye wakati mgumu kimtazamo kutokana na mambo yanavyoenda kwenye Nchi yetu, na moja ya jambo ambalo limekua likinipa ukakasi ni juu ya swala la NACTVET kulazimisha wanafunzi wanaotaka kusoma hatua ya Degree kununua namba...
Mfumo wa NACTVET kushindwa kutoa AWARD VERIFICATION NUMBER.
USERNAME na PASSWORD walionitumia baada ya ku create account hazikubali ku log in na hata nikifanya FORGOT PASSWORD bado mfumo unanipa notification kwamba USER NAME na NAMBA YA SIMU sio Sahihi.
Mwenye uelewa wa hii changamoto naomba...
Habari wadau,
Ninatumaini kuwa mnaendelea vyema na Majukumu.
Mimi ni Mhitimu wa diploma idara ya Umeme katika taasisi ya teknolojia Dar es salaam DIT Mwaka wa masomo 2021/2022.
Ninawaandikia thread kuomba msaada na kufikisha Malalamiko yangu kuhusu kucheleweshewa au kushindwa kupatiwa...
Tangu Jana nina tatizo kubwa ambalo nahitaji msaada kwa NACTVET lakini namba zao zote zilizopo kwenye website yao hazipatikani.
Inamaana mimi nitumie nauli kuvuka mikoa kwa mikoa niende ofisini kuulizia kitu tu?
Na hapo nimejaribu hafi kwa njia ya email ila haijajibiwa.
Mkurugenzi wa NACTVET...
Baada ya malalamiko kutolewe na member kwenye Jukwaa la Habari na Hoja ndani ya JamiiForums.com kuhusu Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kuwazungusha baadhi ya watu ambao wanafanya mabadiliko ya taarifa za vyeti vyao vya elimu, mamlaka husika imetoa maelezo...
Nina malalamiko yangu kuhusu Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET).
Kuna watu tupo wengi tuliomba tubadilishiwe matokeo ya Chuo kwa makosa ya kibinadamu katika Uandishi, tukalipia pesa kupitia “Control Number”.
Mpaka sasa miezi minne imefika kila tukienda...
Mh waziri Tamisem Angela Kairuki, wiki hii ametangaza chaguzi/selection za vijana wa kidato cha nne kujiunga na kidato cha tano pamoja vyuo mbalimbali.
Miaka ya nyuma vijana wote waliokuwa wakijiunga na vyou vya ufundi pamoja na uwalimu serikali ilikuwa inacover gharama zote au baadhi. Leo hii...
SABABU ZA KUKUA KWA LUGHA YA KISWAHILI KIMATAIFA NA KUDUMAA NCHINI
Kiswahili ni Lugha inayozidi kukua barani Afrika na duniani kote kadri siku zinavyozidi kusogea hili likidhihirishwa na maboresho na mabadiliko ya mitaala ya elimu katika mataifa mbalimbali barani Afrika ili kutoa mwanya wa...
Wapo wasimizi wanashiriki kila zoezi la kazi maalum kwa sababu ya connection tu lakini si waadilifu.
Baadhi wamekuwa wakiomba fedha ili wawabebe wanafunzi na wamiliki wa vyuo wasio na maadili huwakubalia.
Najua kwa sasa kuna watu wa ofisi ya Rais wanahusishwa katika zoezi isipokuwa ninyi mna...
POST COORDINATOR OF ADMISSIONS AND ARTICULATIONS II – 1 POST
EMPLOYER The National Council for Technical and Vocational Education and Training (NACTVET)
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. To assist coordination of students’ admission into technical and vocational institutions;
ii...
Baraza la Taifa na Elimu ya ufundi (NACTE), sasa limebadilishwa jina na litajulikana kama Baraza la Taifa la Elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi (NACTVET), mabadiliko hayo yamefanywa kufuatia Bunge kufanya mabadiliko mbalimbali ya Sheria ikiwemo Sheria namba 4 ya 2021.
Mabadiliko hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.