Wakuu naombeni ndoano nivue samak mwenyewe
Nipeni wazo niingie chimbo gani nipate Hela walau hata mkono uende kinywani
Kodi inaisha, biashara ndo imekufa hivo. Nawaza na kuwazua wapi ntapata ela ya kulihudumia tumbo langu!
Nipo dar es salaam
Habari za majukumu wakuu?
Natumaini mko salama. Ningeomba msaada wenu wa hali na mali katika kunisaidia kupata nafasi yoyote ya kazi. Nina imani kuwa kwa msaada wako, nitapata nafasi itakayoniwezesha kutumia uwezo wangu na kuchangia kwa mafanikio ya mtu binafsi, shirika au kampuni yoyote.
Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.