Habari zenu Wakuu.
Jamani kama amekosekana wa kunishika mkono kupata KAZI) Kibarua, Tafadhali nisaidieni majina na location ya viwanda ambavyo wanapokea vibarua.
Nawaomba sana, Nikipata kazi ya kulipwa kiasi chochote kulingana na uwajibikaji wangu watakavyoona.
Naishi Dar es salaam, Ni fresh...