Kama kichwa cha habari hapo juu cha jieleza
natafuta mwanamke wa kumuoa tujenge familia;
Awe na umri kuanzia 22-28
Awe na elimu kuanzia kidato cha nne
Awe na kazi halali ya kufanya
Asiwe mweusi sana, akiwa mweupe fresh
Asiwe mfupi sana kama ni mrefu hapo sawa.
Sifa zangu
Sina mke wala mtoto
Ni...
Hakika hawa wanawake wawili ni watu muhimu sana katika maisha ya mume, lakini kila mmoja mara nyingi huwa anahitaji kuwa chaguo la kwanza, na hapo ndipo shida inapoanzia.
Nadhani mara nyingi tumeshawahi shuhudia ima kwa majirani au kwa ndugu zetu,jinsi wanawake hawa muhimu wanavyo chachafya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.