nafasi ya mke

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nafasi ya mke, nimechoka kukaa mwenyewe jamani mwenye kunipenda aje tujenge familia

    Kama kichwa cha habari hapo juu cha jieleza natafuta mwanamke wa kumuoa tujenge familia; Awe na umri kuanzia 22-28 Awe na elimu kuanzia kidato cha nne Awe na kazi halali ya kufanya Asiwe mweusi sana, akiwa mweupe fresh Asiwe mfupi sana kama ni mrefu hapo sawa. Sifa zangu Sina mke wala mtoto Ni...
  2. Ni ipi nafasi ya mama na mke katika maisha ya mume

    Hakika hawa wanawake wawili ni watu muhimu sana katika maisha ya mume, lakini kila mmoja mara nyingi huwa anahitaji kuwa chaguo la kwanza, na hapo ndipo shida inapoanzia. Nadhani mara nyingi tumeshawahi shuhudia ima kwa majirani au kwa ndugu zetu,jinsi wanawake hawa muhimu wanavyo chachafya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…