Malkia wa urembo wa Miss Universe Nigeria, Chidimma Adetshina, ameibuka mshindi wa pili katika shindano la Miss Universe 2024 lililokamilika Mexico City Jumamosi usiku.
Miss Denmark, Victoria Kjaer Theilvig ndiye aliyeibuka Miss Universe mwaka huu 2024.
Chidimma Adetshina ambaye awali...
Ukiondoa mpira mguu, mchezo wa draft ndio mchezo ambazo unachezwa katika wilaya zote nchini, hakuna wilaya hapa nchini utaenda utakosa wachezaji wa mchezo huu, nenda wilaya yoyote draft lipo na wachezaji wapo, Dar es salaam ndio balaa, kule manzese, mbagala, kinondoni ndio kuna mafundi wakubwa...
Inasemekana mara nyingi kwamba kila mtu anastahili nafasi ya pili. Lakini hiyo si kweli kila wakati, kulingana na saikolojia.
Kuna aina fulani za watu ambao, kwa ajili ya afya yako ya akili, hawapaswi kupewa nafasi ya pili. Hawa ni watu ambao matendo na tabia zao zimeonyesha kuwa hawana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.