Habarini ndugu zangu. poleni na majukumu..
nina mdogo wangu mwaka huu anamaliza chuo course ya udaktari mwaka wa 5, baada ya hapo anatarajia kupangiwa hospitali kwaajili ya kufanya internship, kuna uwezekano akapangiwa hospitali zanje ya mkoa wa DAR ES SALAAM maana kwa sasa anasoma chuo nje ya...