Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju amewataka wanawake kujitokeza kwa wingi kwenda kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi mkuu utakafoanyika mwaka huu.
Akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani...
Hao vijana wenyewe wanaopewa ushauri huu ndiyo kwanza wako busy na uchawa
===
Ikiwa imebaki miezi minane kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, vijana wametakiwa kuacha tabia ya upambe na kubeba mabegi ya wagombea badala yake wagombee nafasi mbalimbali.
Msingi wa hoja hiyo iliyotolewa leo...
Makamu Mwenyekiti wa wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amesema chama hicho kitashirikiana na kila mwanachama na yeyote mwenye nia ya kufanya nacho kazi bila kuangalia aliwaunga mkono yeye au Mwenyekiti wa sasa Tundu Lissu katika kipindi uchaguzi.
Akizungumza leo...
Inasemekana,
barua inayelezea kinagaubaga sababu mahususi za msingi za kuahirishwa kwa uchaguzi huo wa ndani Chadema, tayari imewasilishwa na kupokelewa kwenye taasisi mahususi, inayohusika na masuala ya vyama vya siasa nchini.
Haijafahamika bado ikiwa wajumbe wahusika wa uchaguzi huo wa...
Wanajamvi kuna suala la USA kutowaamin vijana kwa upande wangu nimeshuhudia masenators wengi ni wazee ha hata viongozi mbalimbali wa mataasisi na hata pia cabinet secretaries na member of house of Representatives. Je ni kweli USA haimini ktk vijana ktka masuala ya uongozi?
Na Thabit Madai, Zanzibar
Zanzibar ya sasa inashuhudia mabadiliko makubwa katika ushiriki wa wanawake katika uongozi, ikilinganishwa na enzi za zamani. Kwa mara ya kwanza tangu mapinduzi ya 1964, wanawake wanashikilia nafasi muhimu, ikiwa ni pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi na Naibu Spika wa...
Katika kampeni nyingi za kisiasa nchini Tanzania, imekuwa kawaida kuona wanawake wakichukuliwa kama wapambe wa wagombea badala ya kuwa wagombeaji wenyewe. Wanawake wamekuwa wakipewa majukumu ya kushangilia, kupiga vigelegele, na kutoa kauli kama “umepitaaa baba,” bila kuangalia sera au kubaini...
NA MARYAM HASSAN
WAKATI dunia ikiendelea kupaza sauti juu ya ushiriki na ushirikishwaji kikamilifu wa wanawake katika nafasi mbali za uongozi, Zanzibar haipo nyuma katika haraakati hizo.
Kupitia Chama cha Wandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA-ZNZ) na wadadu wengine wamekuwa wakiendelea...
Tanzania ni taifa ambalo katika miaka kadhaa nyuma lilikumbwa na mauaji makubwa ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) haswa kipindi cha uchaguzi kilipokuwa kinakaribia. Licha ya matukio hayo mwaka 2010, historia iliandikwa na Barwan Salum baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Lindi...
Wakuu nawasalimu.
Kama taifa tupo katika kipindi cha uchaguzi Mkuu na Serikali za Mitaa ambao umepamba moto kwa hivi sasa. Huu ndio wakati wa Vyama vya Siasa nchini kukuza ushiriki wa wanawake katika siasa na maamuzi.
Kupata Taarifa na Matukio ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kila mkoa...
Nimepta kwenye nyuzi nyingi za wakati huu wa kuelekea uchaguzi na zile za zoezi la kujiandikisha unaona kabis namna Wanasiasa walivyo na uchu na madaraka, wanaonesha jinsi gani kuna fursa huko ndio maana hadi wanataka kutoana roho.
Ila sasa wakitoka hapo utawasikia ooo Siasa hailipi, siasa...
Na Thabit Madai,Zanzibar
UONGOZI ni ushawishi, dhana na taaluma inayompa mtu madaraka ya kuongoza ili kuleta maendeleo katika eneo ambalo anataka kuliongozi, Juhudi za wanawake kuwa viongozi Zanzibar bado kitendawili kutokana kuwa wanawake hao wanakabiliana na changamoto nyingi kama...
Ikiwa zimebakia siku chache kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini, Dk Ananilea Nkya amasema kuwa zipo changamoto mbalimbali ambazo upelekea Wanawake kushindwa kuwania na kuchaguliwa kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Ametolea mfano...
Katika ukanda wa Afrika Mashariki, Tanzania inaongoza katika kuimarisha ushiriki wa wanawake kwenye uongozi. Wanawake wanaochukua nafasi za uongozi wanatoa mfano bora kwa wenzao, wakionesha kuwa uongozi si wa wanaume pekee, bali ni haki ya kila mtu mwenye uwezo na dhamira ya kuleta mabadiliko...
Wanajukwaa Kwema!
Siku zinahesabika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ambao unatarajiwa kufanyika November 27 mwaka huu nchini kote.
Sasa swali la kujiuliza vipi muamko wa Wanawake wa vijijini kushiriki katika kuwania nafasi hizo ambapo mara zote kumekuwa na muhamko mdogo sana wa...
Katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu wa 2024, kumekuwa na hali ya muamko mdogo miongoni mwa wanawake kuonesha nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Hii inatokana na dhana potofu kuwa uongozi wa serikali za mitaa ni kwa wanaume pekee.
Ni muhimu kufahamu kuwa nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.