Hata mimi naungana na bwana Musk, binafsi inaenda miaka 2 sasa nimeshasahau kitu inaitwa redio, runinga kutizama ni mara moja moja sana, tena siyo taarifa ya habari, natazama vipindi vingine kama mpira, wildlife nk.
Mainstream media za bongo zimejipangaje na hii transition inayoenda kutokea?
Inawezekana kuna watu unawaona wa ajabu sana, unaona kama ungepewa uhusika wao basi ungefanikiwa ndani ya dakika moja 😊 Inawezekana ikawa kweli wapo kwenye nafasi wasizojua kuzitumia vyema au ikawa sio kama uonavyo ukiwa sio muhusika.
Kuna watu wakikusimulia utaona kama vile wanakutisha hivi...
Ukiangalia Hela/Pesa mpya zinazotoka za noti Bado kuna sain ya waziri wa fedha Na gavana ambao kwa sasa hawapo kwenye nafsi zao.
Prof. Philip mpango alikua waziri wa fedha lakini kwa sasa ni Makamu wa rais
prof. Florens luoga Alikua gavana wa bank kuu
Kwa sasa kuna waziri mpya wa fedha na...
Kwa kuanza, swala la uzalendo ni swala pana hasa katika maslahi ya nchi au taifa kwa ujumla. Tukianza na viongozi waasisi Mfano
Nyerere wa Tanzania na Mandela wa Africa ya kusini walikuwa ni viongozi wa mfano katika swala la uzalendo. Kinachosikitisha ni kwamba kwa viongozi tulio nao kwa sasa...
Wana JF habari zenu.
Mh. Rais wetu Mama Samia, jana akiongea baada ya kupokea ripoti ya CAG Ikulu, Dar es Salaam, alisema kwa ukali sana, waliohusika na ongezeko la bei ya ndege ya mizigo ya ATCL kutoka $ 37 mil hadi $ 86 mil wajiuzulu haraka, yaani wapishe nafasi zao haraka sana.
JF tuweke...
Tatizo la maji sasa ni mtambuka tutarajie magonjwa mengi kama kipindupindu, UTI, kuharisha nk..
Kabla hatujaenda kwenye solution.
Hawa wafuatao waondoke kwenye nafasi zao
1. Mzee wetu Mwamunyange (mwenyekiti wa bodi DAWASA).
2. Luhemeja (mkurugenzi DAWASA).
3. Aweso (waziri wa maji)...
Ni ukweli usiopingika kuwa tokea mapinduzi ya kumkomboa mwanamke kiuchumi, kisiasa na kijamii wanawake wengi wamekuwa na nguvu sana katika nyanja zote za siasa, uchumi na jamii na kuwaacha wanaume nyuma.
Tukirudi miaka ya 90 kurudi nyuma kulikuwa na dhana kwa wanawake wengi kuwa wao hawawezi...
Kuna minong'ono kuwa mtu yeyote aliyesaidia kwa namna moja ama nyingine kuokoa uhai wa Lissu (Mungu mwenyewe ndiye Mwamuzi wa mwisho) basi "alisulubiwa". Minong'ono inasema baadhi wamerudishwa kama Jose who's our representative in Brussels.
Wengine bado. Namuomba mama awarudishe. Huu uzi...
MHANDISI KUNDO AWATAKA WATAALAM WA TEHAMA HALMASHAURI WATOSHE KATIKA NAFASI ZAO
Na Mwandishi Wetu, TANGA
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kupitia taasisi yake ya Tume ya TEHAMA imeanzisha programu maalum ya kuwatambua, kuwasajili na kuwaendeleza wataalam, wabunifu na wabobezi wa...