Nahitaji mke wa pilli wa kuoa ndani ya miezi 5 tu kuanzia sasa hivi mwezi wa 3, mimi mkristo. Nina miaka 51. Mwanamke asiwe mchaga, mrangi au mpare. Mwanamke awe hajawahi olewa awe na umri 49- 51. Awe na mtoto 1 tu au asiwe naye. Awe anaishi kwake maana mm nipo kwangu. Ndoa haita husisha mali...
Nina miaka 33
Dini mkristo
Elimu Degree
Kazi muajiriwa
Natafuta mke asizidi miaka 30
Sijabadili Id kama wengine ni maisha yangu ya nyuma tuu karibuni.
Kigezo
Awe tuu na hofu ya Mungu.
Awe tayari kuzaa nitamuoa kabisa
Dini yeyote
Kama ilivyo hapo juu , natafuta chumba ambaye baadaye atakuwa Mke wangu. Mimi ni njasiriamali na miaka 50. Naishi Dar. Nimkristo mwenye hofu ya Mungu.
Mchumba aliyetayari na anayejitambu anakaribisha. Ni PM Kwa maelezo zaidi.
Habari ndugu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Mimi ni mpweke na nipo singo, natafuta mwanamke ambaye atanipa faraja moyoni kwa kuishi maisha ya kumpendeza Mungu.
Nina uhitaji wa mwanamke ambaye atakuwa mstari wa mbele kushirikiana nami kwa maisha ya familia ili kuleta furaha...
Kama kichwa cha habari kinavyo sema kutokana na changamoto za safari za utafutaji na kukaa muda mrefu nje ya familia nahitaji mke wa pili mimi ni muislam nae jitahid kufuata maadili ya kiislam kabila mnyamwezi /msukuma umri sasa miaka 39 makazi ya familia yangu dar mwanamke nnae muhitaji
Awe...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 40. Nipo iringa. Nina mtoto mmoja. Ninahitaji mke mwenye umri kuanzia 30 mpaka 35. Awe hana mtoto au single maza with one kid. It's fine. Njoo DM tuyajenge
Vigezo;
1. Miaka 30 Mpaka 41
2. Amezaliwa Mara ya Pili.
3. Amejazwa Roho Mtakatifu.
4. Amebatizwa Maji Mengi.
5. Anaipenda na Kukubali Huduma ya Boniface Mwamposa Pamoja na Mitume na Manabii Wote Wenye Makanisa.
5. Aliye Tayari kuwa Mama Mchungaji.
6. Aliye Tayari kuishi mazingira Yoyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.