Wakuu,
Itoshe kusema kwa tabia za kiafrika zinafanana.
Ikulu ya Kenya, Ofisi ya Naibu Rais na Ofisi ya Mkuu wa Baraza la Mawaziri, zimeongezewa KSh5 bilioni (takriban TSh99 bilioni) za ziada kwa ajili ya safari, burudani, na malipo ya mishahara.
Kwa mujibu wa bajeti ya nyongeza...
Profesa Abraham Kithure Kindiki ameapishwa rasmi kuwa Naibu Rais wa Tatu wa Jamhuri ya Kenya.
Kindiki ameapishwa na Msajili wa Mahakama nchini Kenya, Winfrida Mokaya mbele ya Jaji Mkuu Martha Koome, katika hafla inayoandaliwa kwenye jumba la Mikutano la KICC jijini Nairobi.
Kindiki anachukua...
#BREAKING: Naibu rais mteule wa Kenya, Kindiki Kithure, ataapishwa hapo kesho katika jumba la mikutano la KICC.
Ikumbukwe kuwa leo Mahakama Kuu jijini Nairobi ilifutilia mbali agizo la Mahakama ya Kuu ya Kerugoya, Kaunti ya Kirinyaga kuzuia kuapishwa kwa Prof. Kithure Kindiki kama Naibu Rais...
Naibu Rais aliyeondolewa madarakani, Rigathi Gachagua, amethibitisha kuwa maafisa wake wa usalama waliondolewa alipokuwa amelazwa hospitalini Alhamisi, Oktoba 17.
Akizungumza na vyombo vya habari alipokuwa akitoka Hospitali ya Karen jijini Nairobi, Gachagua alimshutumu Rais William Ruto kwa...
Mahakama ya Juu nchini Kenya imetoa amri ya kusimamisha kwa muda uamuzi wa Seneti wa kuunga mkono kufukuzwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua. Jaji E.C. Mwita amechukua hatua hiyo akirejelea masuala makubwa ya katiba na umuhimu wa kulinda maslahi ya umma.
Kikundi maalum, kilichoteuliwa na Jaji...
Naibu Rais wa Kenya aliugua muda mchache kabla yakwenda kwenye baraza la Senate. Lakini pamoja na kuugua wajumbe wa baraza wameamua kupiga kura na kumwondoa bila kumsikiliza.
Je, Naibu Rais anaweza kutumia mapungufu haya kwenda kukata rufaa kupinga maamuzi haya? Je, Rufaa anakata kwa nani?
https://www.youtube.com/live/KpOvDAfGm7o
Bunge la Seneti linaendelea na mjadala unaohusisha tuhuma mbalimbali dhidi ya Naibu Rais Rigathi Gachagua ambapo kuna uwezekano wa kupiga kura leo Oktoba 17, 2024 ili kuridhia au kutoridhia kuondolewa kwenye nafasi yake ya Naibu Rais.
Soma: Yaliyojiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.