Anne Mumbi Waiguru, Govonor wa Kirinyaga ana nafasi kubwa mno ya kuteuliwa kua Naibu wa Rais Kenya, baada ya Rigadhi Gachagua kubanduliwa.
Swali ni je,
Rais, Dr. William Ruto atatimiza ahadi yake ya kuwa na usawa wa kijinsia uongozini, kuanzia ngazi za juu kwenye chama na serikali, mapema zaidi...
Endapo muswada wa kumbandua Rigadhi Gachagua naibu wa Rais wa sasa utafanikiwa, unadani ni yupi kati ya hawa wanaotajwa, ana nafasi kubwa zaidi kukwaa nafasi hiyo muhimu serikalini?
1. Anne Mumbi Waiguru, governor wa county ya kirinyaga na ambae anaungwa mkono na mke wa kinara wa odm mama Ida...
Hayo yameelezwa na wabunge baada ya hoja maalumu ya kumbandua naibu wa Rigathi Gachagua kuwasilishwa bungeni mchana wa leo Oct 01.2024.
Kiongoza wa wachache bungeni Mh.Junet Mohamed alitoa angalizo la kiusalama mbele ya spika na kwamba Inspekta Generali mpya wa polisi anawajibika kuwahakikisha...
Naibu wa rais Kenya amelazimika kukimbilia mahakamani kujaribu kuzuia mchakato wa kubanduliwa kwake ofisini ingawa uwezekano wa bunge kumuondoa bado ni mkubwa zaidi.
Tayari wabunge wapatao 242 wameridhia muswada huo kuletwa bungeni kati ya angalau wabunge 117 waliohitajika kisheria.
Endapo...
Ni baada ya kuonekana akimuhujumu Rais, akihubiri na kuchochea chuki na migawanyiko ya kisiasa yenye mirengo kikabila na upendeleo wa watu wa kabila na eneo lake la Milima Kenya.
Naibu wa Rais amekiuka sheria na misingi ya kikatiba ya Kenya ya kua nembo ya umoja wa Taifa na kiunganishi cha...
Naibu wa Rais Rigathi Gachagua leo kwa mara nyingine tena alifika ofisini kwake, Harambee House, saa kumi na moja alfajiri na kama ilivyo ada alichapisha picha kwenye ukurasa wake wa Twitter akitoa Rai kwa wananchi kupambana katika kazi zao za Kila siku. Aliandika:
"Kenya ni taifa la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.