Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali imetenga takribani shilingi bilioni 4.6 kupeleka umeme kwenye maeneo ya migodi mkoani Ruvuma.
Kapinga ameyasema hayo Agosti 18, 2024 wakati akizindua Kituo cha Mauzo ya Makaa ya Mawe ya kampuni ya Market Insight Limited (MILCOAL)...
Nawakumbusha tu kwamba Bado Vijiji 151 Tanzania nzima kuwa na umeme na kati ya hivyo Wakandarasi wako site.
---
Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema vijiji 151 tu nchi nzima ndio ambavyo bado havijafikiwa na huduma ya umeme kati ya vijiji zaidi ya 12,000 ambapo wilayani Ludewa mkoani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.