naibu waziri wa afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Naibu Waziri Godwin Mollel: ARV zinaendelea kupatikana bure kwa wagonjwa wote nchini

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, amesema kwamba serikali imeendelea kuhakikisha huduma za upatikanaji wa dawa (ARV) za kufubaza makali ya Virusi vya UKIMWI zinaendelea kupatikana bila malipo kwa wagonjwa wote. Kauli hiyo ameitoa hii leo Februari 20, 2025 alipoungana na Naibu Waziri...
  2. M

    Viongozi wa Kitaifa CHADEMA wamwagia sifa Naibu Waziri wa Afya, Dr. Mollel wakati wa mazishi ya Derick Magoma

    Februari 11, 2025 katika ibada ya maziko ya Derick Magoma, aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara, viongozi wakuu wa Chadema Taifa walimshukuru Naibu Waziri wa Afya, Dr. Mollel, kwa juhudi zake za kusaidia katika kipindi cha matibu ya Derick Magoma. Katika ibaada hiyo Mwenyekiti wa...
  3. Waufukweni

    Dkt. Godwin Mollel: Watanzania tufuatilie anachokisema Profesa Janabi

    Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya amesema: "Nimekuwa nikiwasisitiza wabunge na Watanzania kwamba elimu mbalimbali zinazotolewa na wataalam wa afya, lakini elimu anayotoa Profesa Janabi na madaktari wangu wengine wote, tuhakikishe tunasikiliza na kufuatilia ili tuweze kuishi maisha ya afya."
  4. milele amina

    Wiito kwa Godwin Mollel Naibu waziri wa Afya: Nenda Jimboni kwako watoto wanaugua magonjwa ya tumbo kisa kuuziwa maji yasiyo safi na Salama

    Katika jamii zetu, huduma za afya ni msingi wa maisha bora. Hata hivyo, tatizo la maji safi na salama linazidi kuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa maeneo mengi, ikiwemo kijiji cha Karansi, Kandashe, Lekrumuni, na Ndinyika. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, anapaswa...
  5. Mjanja M1

    Naibu waziri wa Afya: Tuhamasishe matumizi ya P2

    Akijibu swali la Mbunge Thea Ntara ambae aliuliza, "Hili suala sasa hivi linatisha, mabinti wanatumia hizo P2 kama unavyotumia panadol yaani hakuna utaratibu, tutafika wakati mabinti hawa hawataweza kupata watoto, je serikali ina mpango gani wa kutoa elimu kwa hao mabinti ili wajue matumizi ya...
  6. R

    Naibu Waziri wa Afya: Nikiona PDF ya Zuhura haipo kwenye Instagram ya Ikulu nakuwa na 'confidence'. Mh. Rais nakushukuru sana kwa mimi kunusurika!

    nyingi Mh. Rais nikiona dereva amechelewa, naenda kwanza kwenye Instagram ya Ikulu, nikiona PDF ya Zuhura haipo basi nakuwa na confidence, namuita dereva. Lakini siku hiyo nikajisahu, nikawa nimeacha Instagram emoj ipo juu, nikaona kama kitu kimepita pale nikaogopa kuangalia nikawa naangalia...
  7. BigTall

    Wakandarasi Wamgomea Naibu Waziri wa Afya

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewaagiza Wakandarasi kutoka kampuni ya Luba, MUST na Ardhi ambao waligomea wito wake wa kufika katika eneo la mradi wa ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida kufika kwa Mkuu wa Mkoa huo ili kujieleza kwanini mradi huo haumaliziki ndani ya...
  8. Lady Whistledown

    Naibu Waziri wa Afya amuondolea madaraka Mkuu wa Idara Paul Koroso, aliyemjibu “Sijali lolote hata nikifukuzwa kazi”

    Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel ameagiza kuondolewa madarakani kwa Mkuu wa Idara ya Ujenzi wa wizara hiyo, Paul Koroso kutokana na mgogoro ulioibuka katika mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe unaotekelezwa kwa gharama ya zaidi ya Sh2.9 bilioni. Dk Mollel pia ameagiza Koroso...
  9. JanguKamaJangu

    Waziri: Wanaume tunzeni vizuri wenza wenu wenye ujauzito ili watoto wawe na IQ kubwa

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka Wanaume kutunza ujauzito wa wenza wao ili watoto wanaozaliwa wawe salama kiafya na wenye akili ya uwezo wa juu na ufanisi (IQ). “Kila baba anapenda kujisifia mtoto wake ambaye anafaulu vizuri shuleni, lakini kufaulu vizuri kwa mtoto shuleni...
  10. Wizara ya Afya Tanzania

    Maelekezo ya Naibu Waziri wa Afya kwa watendaji alipotembelea mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Wilaya ya Songwe

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka watendaji wanaosimamia ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia taratibu za mawasiliano zilizopo serikalini Amewataka watendaji hao kutoa taarifa za maendeleo ya ujenzi wa mradi huo katika mamlaka...
  11. Wizara ya Afya Tanzania

    Naibu Waziri Wa Afya ameupongeza uongozi wa Wilaya ya Ileje Mkoa wa Songwe kwa kusimamia vyema fedha za ujenzi wa hospitali ya wilaya

    Naibu Waziri Wa Afya, Maendeleo Ya Jamii, Jinsia, Wazee Na Watoto Dkt. Godwin Mollel ameupongeza uongozi wa Wilaya ya Ileje Mkoa wa Songwe kwa kusimamia vyema fedha za ujenzi wa hospitali ya wilaya kwa kujenga majengo ambayo thamani ya fedha inaonekana. Dkt Mollel amesema hayo alipokwenda...
Back
Top Bottom