Habari za jioni ndugu,
Kwa sasa maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam hasa maeneo ya Manzese napoishi kumekuwa na kero kubwa ya maji na maji yanaweza kutoka lisaa limoja tena mara moja kwa mwezi mzima.
Na DAWASA wamekaa kimya hakuna wanachoeleza cha maana ukiwapigia simu. Ni vyema sasa Waziri...
Naibu Waziri Waji, Kundo amechukizwa na kucheleshwa kwa mradi wa maji,
Mradi uko asilimi 12.8 na mkadarasi hana uhakika kama Certificate wamesharise, Mkandarasi kasema mpaka acheki na ofisi, Waziri wa maji amemuhoji kuwa kasema yeye ni Eng. ila hata kuraise Certificate hajui mpaka acheki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.