Wiki hii tumepangiwa kujadili mambo ya simba na yanga na hii ni sehemu zote si vijiweni si ofisini, barabarani, wala hospitali.
Kwenye mikusanyiko yote rasmi na isiyo rasmi story kuu ni hizi timu za CCM.
CHADEMA mna safari ndefu sana, hii ndiyo nchi yenu ndiyomaana yule mzee akaona awaruhusu...
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo (Mb) ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kuboresha miundombinu ya kutolea huduma katika Bandari zake hali iliyoongeza kasi na ubora wa kuhudumia Meli na Shehena.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonyesho ya 19 ya...
Habari wakuu?
Kwa kweli huyu mama yetu mama samia anaupiga mwingi, kwenye hili la kada ya afya kupitia utumishi na kufanyiwa usaili naipongeza serikali sana kwa sababu kupitia usaili usawa utakuepo lakini pia watapatikana watu competence pamoja na hilo usaili utaondoa dhana ya kuwa kuna...
Chato ni sehemu ya Tanzania kama ilivyo Rombo na Bomag'ombe.
Kwa nini Makamanda wenzangu mnaichukia Chato?
Hi ni moja ya great and tremendous development tuache chuki bana. CCM wanapiga kazi
👇
---
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia wananchi wa wilaya ya Chato mkoani Geita kuwa...
licha ya kuchelewa kutoa salamu zangu za pasaka kwako na kwa familia yako, nadhani bado ni muhimu sana walau kusema tu heri ya sikukuu ya pasaka mwanafamilia wa JF🌹
ukiachana huzuni na majonzi kwa matokeo ya vitu vingine tangu Ijumaa pale lupaso,
nimewiwa kutoa rai binafsi kwako, ya kuwa...
Watu wengi wa CCM hata upinzani wamekuwa waoga kujitokeza kuwapongeza wabunge wa kambi rasmi ya upinzani ikiongozwa na wabunge 19 wa viti maalum kupitia CHADEMA na mmoja wa kuchaguliwa CHADEMA.
Mimi leo nimeona nijitokeze kuwapongeza kina mama hawa shupavu kutoka CHADEMA wanaoweza kujenga hoja...
Tunakumbushana tu leo ndio tarehe 10/08/2023
---- UPDATE----
Mahakama Kuu nchini Tanzania hii leo imetupilia mbali kesi iliyokuwa inapinga mkataba (IGA) wa uwekezaji wa bandari baina ya serikali ya Tanzania na falme ya Dubai.
Kesi hiyo iliyofunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Mbeya na...
Nichukue nafasi hii kwa kuipongeza NMB kwa gawio zuri kwa wanahisa wake kwa mwaka 2022/23. Naiomba CRDB iige mfano mzuri wa NMB kwa kutoa gawio inayoendana na uwekezaji wao. Gawio la CRDB ni ndogo sana na hii inawakatisha tamaa wanahisa wake. Hongera sana CEO wa NMB Mama Zaipuna.
Baada ya kuingia 16 bora, atacheza na Australia halafu kwenye robo fainali atakutana na mshindi kati ya Uholanzi na Marekani.
Hapo Argentina wanawaza watakutana na nani kwenye nusu fainali maana hakuna timu yoyote ya kuwasumbua katika hizo tajwa hapo juu.
Kiutani namna hii Argentina anakwenda...
Nipende kuipongeza serekali yetu tukufu kwa kubuni kodi ya upangishaji hasa hasa ikiwalenga wenye majengo ya kimakazi au ya kibiashara hakika hapa kulikuwa na fedha nyingi mno zilizokuwa zinapotea na kulikosesha taifa letu mapato stahili na halali.
Ispokuwa ombi langu ni kwamba ingelipaswa...
Hulka yetu watanzania tuliowengi hatupendi kulipa kodi kwa hiari ila ni wa kwanza kuilamu serikali pale inaposhindwa kuleta huduma za maendeleo.
Yaani tunafikiri pengine maendeleo yanakuja tu kama mvua ishukavyo kutoka mawinguni au labda kwamba nchi inaweza kujiendesha yenyewe pasipo watu...
Pamoja ya yote yaliyomo kwenye bajeti ya mwaka 2021/2022.
Nashukuru kwa serikali kwa kusikia kilio changu na mapendekezo yangu ya muda kitambo kwa baadhi ya watendaji wetu wa ngazi za chini huku.
NINA MAMBO MAWILI MKUU
1. Swala la madiwani, wenyeviti wa vijiji, vitongoji pamoja na mitaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.