najisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Kiwango cha rushwa kwenye uchaguzi wa CHADEMA taifa ni aibu na najisi kwa demokrasia na upinzani wa Tanzania kwa ujumla

    My friends, ladies and gentlemen! Rushwa inatembezwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa kama njugu, bila aibu au kificho. Hakuna upande unaogombea uongozi, wa kukemea upande mwingine, kwasababu wote wanashiriki kwenye uovu huo unao chafua haiba ya chama chao na uelekeo wa misingi...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Kuna watu wanaamini kuwa upinzani ni utakatifu na kuwa CCM ni unajisi. Ukweli ni kuwa chama hakimfanyi mtu kuwa Mtakatifu au najisi

    Habari za Sabato! Kuna watu wanaamini kuwa watu wote wa CCM ni Najisi, wezi, majambazi, mafisadi yaani kitendo cha kuwa CCM wanaamini wewe ni muovu. Jambo ambalo sio kweli Wakati huohuo wanaamini kuwa chama cha upinzani kama CHADEMA ndio kuwa Mtakatifu au mzalendo wa taifa. Jambo ambalo sio...
  3. Yoda

    Kwanini mkojo ulifanywa najisi na dini za zamani za Mashariki ya kati?

    Kwanini vitabu vya dini za zamani viliamua mkojo na hedhi kuwa vitu najisi? Mkojo una tofauti gani na jasho? Kwa nini mkojo ni najisi wakati jasho sio najisi? Kuna tatizo gani mwanamke akienda katika ibada katika siku zake kama amevaa pedi ?
  4. Pang Fung Mi

    Tusiingize mambo ya Dini, Mkataba wa Bandari ni aibu na ni Najisi kwa Sovereignty ya nchi yetu

    Wasalaam, Kwenye hili la mkataba wa bandari kuna dalili ya baadhi ya watu kujivua koti la uraia na uzalendo. Jamani akili ya uhai itumike Kwa mkataba wa kizuzu kama ule kisa tu ukichaa wa dini na kuwaaabudi waarabu kweli tunakuwa vipofu kiasi hiki. Penye kweli ibaki kweli hizi dini zimeletwa...
  5. D

    Uchaguzi 2020 Karagwe: DC aamuru kujengwa jukwaa lingine ili litumiwe na Waziri Mkuu, asema jukwaa la awali ambalo ni la kudumu limetiwa najisi na Tundu Lissu

    Siasa za Tanzania kusema kweli chama tawala kinatia aibu. Kesho waziri mkuu atakuwa Karagwe kwenye kampeni za uchaguzi mkuu. Sasa leo DC wa Karagwe ameamuru kujengwa jukwaa lingine baada ya jukwaa la asili ambalo alitumia Tundu Lissu kujinadi kudai kuwa limetiwa najisi. Yaani Tundu Lissu...
  6. J

    Uchaguzi 2020 Godbless Lema: Arusha leo kuna Mechi ya Simba bure na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu Mkutano wa Tundu Lissu

    Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini Ndg. Godbless Lema amelalamika kuwa CCM inawahujumu kwa kuandaa mechi ya Simba bila kiingilio na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu mkutano wa mgombea urais wa CHADEMA Ndg. Tundu Lissu. Hata hivyo Lema ameapa kuwa leo ndio CCM watajua kwamba CHADEMA ni...
Back
Top Bottom