nakupenda

  1. Mallerina mi nakupenda bure

    Dondosha jina la mtu anayekufurahisha JF anavyoandika nyuzi zake au replies. Mallerina unanifurahisha sana na majibu yako kwenye threads. Najua siwezi kukuanzishia nyuzi bure bure my future President, nakuletea pepsi baridi.
  2. Tanzania nchi yangu, nakupenda kwa moyo wangu wote

    Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kisa kinene ,yapo mengi hatuyajui yapo mengi tunahaso tuyajue Elimu haina mwisho,Tuendelee kijifunza tupo kwenye nchi ya Dunia ya tatu ipo nyuma Kwa mambo mengi tu yaani, Siasa,uchumi,na maendeleo ya mtu mmoja mmoja ,ni nchi ambayo mtu akimikiki Jiko la...
  3. Wimbo wa Wiki: Saida Karoli ft Banana Zorro - Mpenzi Nakupenda

    Kiitikio(pamoja) Mpenzi nakupendaa, namii nakupenda, ujue nakupenda nimekukubali… Mpenzi nakupenda, namii nakupenda, ujue nakupenda na mimi nakubalii Saida Mpenzi nakupenda, penzi sio kila mtu, mpenzi nakupenda penzi ndio uamuzi wa mtu. Banana Na mimi nashukuru mama, unajua hilo Saida...
  4. Nakupenda Rebeca 83

    Hello Rebeca nimetokea kukupenda naomba uwe mpenzi wangu
  5. Nakupenda Valhalla

    Mpenzi Valhalla, Natumai unaelewa jinsi ulivyo wa thamani kubwa moyoni mwangu. Unapokuwa karibu nami, hisia zangu hutulia, na ulimwengu wote unaonekana kusimama. Ninakutamani kuwa wangu, si kwa muda mfupi tu, bali kuwa mpenzi wangu wa milele. Najua kwamba bado unahisi uzito wa kumbukumbu za...
  6. We kijana, nakupenda sana

    Popote ulipo ujue nakupenda https://youtu.be/4lGqKGsfhOQ?si=oGtBuz_f-cenPpx7 https://youtu.be/3JWTaaS7LdU?si=qg_mvYEECSurtoDm
  7. Nakupenda customer care wa CRDB.

    We mdada wa CRDB tawi la Mwanza customer care desk, kwanza nakuombea kwa mungu uzidi kukupa afya njema vingine nitafanya mimi, ninafanya juuchini nikupate, iwe ni kwa upendo, dua, viringe ama pesa nitazitoa ili tu uwe wangu. Nimekutazama vizuri, una uzuri wa sauti, tabasamu, karangi kako dark...
  8. Nakupenda wewe shani

    NAKUPENDA WEWE SHANI Nakupenda wewe Shani, shairi mekutungia, Kila napokuoneni, nashindwa kukuambia, Nikwambie neno gani, ujali zangu hisia, Nakupenda wewe Shani, shairi mekutungia. Watembea kwa maringo, nyuma umefungashia, Unaizungusha shingo, madoido waachia, Fungua chako kifungo...
  9. Nakupenda Mke wangu ila naomba usinipige tena

    Jambo? Baada ya kupigwa na mwiko wa kichwa na Single Mother hatimae Baba wa kufikia amemuomba Wife wake asimpige tena - Single mother kampiga mwiko wa kichwa Baba wa kufikia Ama kweli mapenzi ni kitu chenye nguvu sana, Jamaa leo tukiwa sehemu tumetulia akatuambia kuwa anampenda sana wife wake...
  10. Neno ‘Nakupenda’ limeexpire

    Yaani ukiambiwa hivyo badala ya kujibu unaanza kupata wasiwasi. Sijui tatizo nini? Baby nakupenda! Baby mwenyewe 👇🏽
  11. Mwanaume ukisema nakupenda, maana yake ni nitegemee

    Kupenda sio hisia, ni uwezo. Mwanamke ukisema unampenda, anasahauu hapo hapo, ndo maana wanauliza unanipenda? Wanataka kusikia Unavyosema nakupenda maana yake ni nitegemee. Hivyo kama Umependa maana yake mpe hela ya kila kitu. Majukumu ya mwanamke ni kukuheshimu tu. Yaani mwanamke ukimpenda...
  12. C

    SoC03 Nakupenda Tanzania

    TANZANIA NAKUPENDA nchi yangu napenda vyote ulivyo jaaliwa na mwenyez mungu TANZANIA imejaaliwa vitu vingi vinavyo vutia nakupendeza macho mwakila mtu mito, maziwa, bahari, mbuga za wanya na vivutio vingi kama vile mbuga ya saadani mlima Kilimanjaro, hifadhi ya taifa ya kitulo, muga za mikumi...
  13. Neno 'Nakupenda' kwa Lugha ya kwenu linatamkwaje?

    Jamani neno NAKUPENDA kwa kilugha cha kwenu mnasemje andika hapo tujue taja na kabila NDIHUDOBOHA -Kibena hicho kwa kule kwetu wewe je
  14. ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

    Hakuna sehemu kama Arusha, hali ya hewa safi, wakazi wa arusha wakarimu sana, pesa inapatikana ukijituma utapata,watu wa arusha wajanja, wazungu kwetu washikaji zetu. Natanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu,mwingi wa rehema mwenye kutukuka,uliyekuwepo toka mwanzo na utakuwepo mpka milele...
  15. Unafanyaje inapotokea umemchoka mpenzi wako ila yeye bado anakupenda sana?

    Una mtu wako hujamuoa ila mpo mna muda mrefu ila umemchoka kabisaa Ila anakupenda sanaa kias kwamba umejarib jaribio la kwanza la kumuacha imeshindikana yaan. Amekua hadi depressed kabisa .kula hali..hadi anaumwa..ndugu na rafik wanakupigia simu kila mara. Hivi unafanyaje hali hii inapotokea na...
  16. Mhhhhh...Simba SC yangu 'Nakupenda' sana tu ila hili la Uwanja wetu 'Mchakato' ni wa mapema na wa 'Kimhemuko' zaidi

    Anyways nawatakieni Kila Ia Kheri wote.
  17. Kumtamkia mzazi wako nakupenda kimaadili ya Kitanzania ni utovu wa nidhamu

    Habari wakuu, Tangu awali nilishasea huu uzungu na haya maisha ya watoto wa kishua sijui wanampango gani na vizazi vyetu, Siku moja kuna star mmoja na mchekeshaji maarufu alifiwa na mama yake mzazi sasa jamaa alishinda akipost video alivyokuwa anaishi na mama yake mara wabusiane mara...
  18. Nakupenda sana baby ila kila mwezi utanipa laki tatu (3)

    Huyu dem napishana nae kila mara hapa mtaani kwetu na kwa kuwa mimi si mtu wa story sana na washikaji hapa kitaa yaani nikitoka nimetoka nikiingia nimeingia hivyo sijazoeleka sana na watu wengi. Sasa huyu dem kila nikirudi hua namkuta kibarazani kwao (sijui kakariri muda wangu wa kurudi home)...
  19. Nakupenda sana baby wangu ila tatizo tozo

    Rahaziz mkalia nyongo
  20. C

    Rais Samia; Urais wa nchi ni mambo makubwa

    Habari wana JF, Binafsi nafurahia uongozi wako Mh Rais Samia, lakini napenda kutoa mtazamo tofauti ili kuboresha kwa kuwa bado una muda. Rais wangu, asikudanganye mtu, Uongozi wa Nchi ni mambo makubwa, ni juu ya hatma ya kesho, sio leo tu, ni juu ya leo na vizazi vijavyo. Nchi hii bado ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…