Nakuja mbele yenu wana-MMU kutangaza wazi kabisa kwamba nampenda huyu mrembo wa kuitwa kritika . Kilichonivutia kwake
Japo nimeoa, naahidi kukupenda katika shida na raha, utamu na uchungu, ups na downs zooote.
Msishangae kuona nimeoa halafu namtongoza kritika , mwenzangu amepitia machungu mengi...