666 Sio namba ya Uovu! Hakuna cha chapa ya shetani wala nini! Shetani wanaye mmaanisha wazungu ni Mtu Mweusi! Ndio maana kila kitu cheusi kwao ni uovu.
666 = MELANIN, MTU MWEUSI
Melanin ni CARBON, Utengenezaji wa kiatomiki wa carbon hutumia Proton 6 Electron 6 na Neutron 6 walio soma Sayansi...