Ashurey kwa sasa ndio dancer namba moja wa kike Tanzania.
Vigezo anavyowapita wengine wote.
1. Anajua kucheza style zote za muziki
2. Ni mbunifu
3. Moves zake zinabadilika
4. Anaweza kucheza freestyle
5. Ni trainer mzuri sana
Habari zenu..
In current situation righit now MARIO ndo msanii mkubwa kwasasa tanzania,wale wawili diamond na alikiba wapewe heshima yao kwa kufikisha mziki wa Tanzania hapa ila kwa hali ilivyo sasa MARIO namba moja na JAY MELODY namba mbili,HARMONIZE namba tatu na RAYVANNY namba nne,yeyote...
Mmiliki na Mkurugenzi wa EFM na TVE Francis "Majizzo" Ciza ametaja Playlist ya ngoma zake 20 bora kwa mwaka 2024 na ameiweka Komasava ya Diamond namba moja na katika orodha hiyo Marioo ndio jina la msanii lililotokea mara nyingi zaidi.
Soma, Pia: Diamond Platnumz namba moja kwa kutazamwa...
Huyu kiongozi chama chake Kila siku kinaongelea habari za demokrasia ila yeye hataki kutoka hapo miaka zaidi ya 20 anakula ruzuku za chama, na ndio maana Lissu kamshtukia kaamua agombee uenyekiti na hili swala nilishalizungumza humu anafanya hiki chama kama chama chake.
Nyota wa muziki kutoka Bongo, Diamond Platnumz, amethibitisha ukubwa wake katika tasnia ya muziki baada ya kutajwa kama msanii aliyeongoza kutazamwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube nchini Kenya kwa mwaka 2024.
Kwa jumla ya watazamaji milioni 125, Diamond amewashinda wasanii wengine maarufu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.