Nawashauri Ndugu zangu Wana Rorya twende na Namba Tatu (Ndugu Kiboye) awe Mbunge wetu kuanzia Bunge lijalo. Namba Tatu ni jasiri na haogopi. aliyepo naye amekula vya kutosha sasa ni zamu ya mwingine. Kama Mhe. Rais ndo analeta fedha kwenye majimbo ya uchaguzi ni vema sasa Mhe, Jaffari amuachie...
Golikipa la Caf toka Morocco liko nchini, Ally Salim yuko on fire, Aishi Manula tafuta tumu nyingine, otherwise unaenda kuwa kipa namba tatu pale Msimbazi.
Boss wa wale jamaa wa PGO anaenda kupata red card.
Mzanzibari aliyepata ukamishina hivi karibuni anachukua viatu vyake
Mpare mwenzangu naye hana siku nyingi aanze kupiga jeramba siku yake ipo karibuni.
Mama kaamua kusafisha masalia ya Mwendazake hakika anaupiga mwingi sana.
Haya madude ya kutumia ubongo huwa tunatusua balaa, tupo nyuma ya Afrika kusini na Mauritius pekee, wengine wote saizi yetu tumepitia juu kwa juu....
Hata Nigeria na Ghana tumetupa kuleeee.
Watani ambao hukesha huku wakilia lia kuhusu Kenya naona hata kwenye kumi bora hawapo, wameshindwa hata na...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Mara Samuel Kiboye maarufu kwa jina la Namba tatu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ataongoza nchi hadi mwaka 2030 kwani wananchi wa Kanda ya Ziwa wanampenda na wanamkubali.
Ameyasema hayo mbele ya Rais Samia ambaye yuko ziarani mkoani mwanza. Mwenyekiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.