Habari zenu wana JamiiForums.
Nimekuwa mfuatiliaji wa hili jukwaa kwa muda mrefu lakini kwa sasa nimeamua kujiunga kabisa ili niwe nachangia maoni mbalimbali,
Leo nahitaji maoni yenu kwa wale(wanaume) walioamua kuwapiga chini wapenzi wao wa muda mrefu waliokuwa wamepanga mipango na kuahidiana...