Jinsi Watu Wanavyojiajiri Kupitia Blog
Blog ni Nini na Inapatikanaje?
Blog ni tovuti au sehemu ya tovuti inayosimamiwa na mtu binafsi au kikundi, ambapo taarifa, mawazo, na habari zinachapishwa mara kwa mara kama makala. Blogu inaweza kuandikwa kuhusu mada mbalimbali kama vile teknolojia, afya...