Nimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa
Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta.
Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi naibiwa. Kuna ile female intuition tu unajua hapa tuko watatu kwenye huu uhusiano.
Sasa mi si ndio...
Kilichotokea Kenya ni fundisho kwa wengine. Tuliache hilo.
Mwanamke mpe hela, hasa yule unayetarajia kuishi naye. Mpe hela kisha tazama matumizi yake au ushauri wake kwenye pesa zako.
Hii ya kujifanya fukara ili kupima uvumilivu wake ni mbinu mfu. Eti unataka kujua siku ukiishiwa itakuwaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.