Her cherish,
Her smartness
Kujichanganya
Anapenda mambo mazuri mazuri,
Hana makuu, ni mpenda watu, hapendi uzembe.
Lengo lake nchi yote ijengeke na kuwa nzuri kila mahala, msikivu, ana huruma, ameshika dini vizuri, ana subira, mwepesi kiakili, wa kungamua jambo na kulirekebisha, hakika...