namungo fc

Namungo Football Club is a Tanzanian football club based in Lindi, Tanzania. The club currently plays in the Tanzanian Premier League, the highest league in the Tanzanian football league system.

View More On Wikipedia.org
  1. MwananchiOG

    Viongozi Namungo fc Jitokezeni kudai hatua zaidi baada ya uonevu mliofanyiwa, Vinginevyo ukandamizaji huu utaendelea

    Baada ya kamati kuketi na kuthibitisha pasi na shaka kwamba maamuzi ya mwamuzi dhidi ya Namungo fc hayakuwa sahihi, hivyo kupelekea wao kucheza pungufu na kupoteza mchezo wao, Natarajia viongozi wa Namungo fc waandike barua na kuomba hatua zaidi zichukuliwe kwani ubovu wa maamuzi ya mwamuzi...
  2. M

    Namungo na Simba ni mechi ya maigizo, Mgunda hajawahi ifunga Simba akiwa na kikosi chochote, tunajua ni tawi kama Tabora na Coastal Union

    Wale wanaopiga kelele juu ya yanga na singida pia kelele zao wazielekeze kwenye mechi ya Namungo na Simba! Pale yupo kocha juma mgunda ambae sikumbuki ni lini aliwai kumfunga Simba akiwa anafundisha timu yoyote Ile, ata sare huwa hapati! Namungo wenyewe ni tawi mojawapo la kolo likifadhiliwa na...
  3. Mkalukungone mwamba

    Djuma Shabani amepewa mkono wa kwaheri na klabu yake ya Namungo Fc

    Djuma Shabani soka la bongo limeshamkataa! Maana tangu atoke Yanga SC amekuwa wa kuhangaika tu. Ameenda huko Namungo kacheza mechi chache sana tena si kwa hule uzoefu wake so naona time yake imekwisha akatafute ugali sehemu nyingine tena nje ya Tanzania. ===================== Beki wa zamani wa...
  4. mdukuzi

    Yanga ni timu ya kuogopwa, Benard Morrison yupo Ken Gold, Djuma Shaban atupiwa virago Namungo FC

    Katoka AS vita katua Jangwani akiwa na uwezo mkubwa sana ndani ya miaka mitatu hata Namungo hawataki kumuongezea mkataba, wanemtupia virago, wanadai uwezo wake ndogo ,huyo ni Djuma Shaban, hana timu ya kucheza kwa sasa. Kwingineko Benard Morisson ametua KenGold timu inayoekekea kushuka daraja...
  5. kiwatengu

    FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBC Premier League ⚽️ Namungo FC 🆚 Young Africans SC 📆 30.11.2024 🏟 Majaliwa Stadium, Ruangwa Lindi 🕖 6:30PM(EAT) KIKOSI CHA NAMUNGO KINACHOANZA KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA. Tukutane hapa kwa Updates... Updates... 18:31 Mpira umeanza kwa kasi ya Wastani hapa . Umiliki ni...
  6. uran

    FT: Simba SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.10.2024

    #nguvumoja#... UPDATES... VIKOSI VINAVYOANZA LEO. updates... DK 5' Simba wanapata goli safi la kuongoza kupitia kwa Shomari Kapombe. 1-0 DK 10' Game On Simba wanamiliki ball kwa kasi kali 1-0 DK 14' Simba wanapata free kick nje. kidogo ya lango la Namungo FC. Anaipiga Joshua Mutale...
  7. Waufukweni

    Juma Mgunda aibukia Namungo FC, kuanza kibarua na Mnyama Simba SC?

    Namungo FC imemtangaza rasmi Juma Ramadhan Mgunda, maarufu kama "Gurdiola Mnene," kuwa Kocha Mkuu wa klabu hiyo. Mgunda anachukua nafasi ya Mwinyi Zahera, ambaye sasa atakuwa mshauri wa benchi la ufundi. Kocha Mgunda atafanya kazi kwa kushirikiana na Ngawina Ngawina na Shedrack Nsajigwa katika...
  8. H

    Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

    1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo 2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi 3. Kuna uwezekano winga wa Simba Sc, Aubin Kramo akapelekwa kwa mkopo Zesco United ya Zambia 4. Kiungo...
  9. Mkalukungone mwamba

    Vipigo viwili mfululizo vyamng'oa CEO Namungo

    Klabu ya Namungo Fc imethibitisha kuridhia ombi la kujiuzulu la aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa timu hiyo, Omary Kaya kufuatia mwenendo usioridhisha wa klabu hiyo iliyopokea vipigo viwili mfululizo kwenye mechi mbili za mwanzo wa msimu huu. Namungo FC imepoteza mechi hizo dhidi ya Tabora United na...
  10. Ladder 49

    NAMUNGO FC timu ya mpira wa miguu na kujiita majina ya ajabu pasipo kujua maana yake nini

    Wakuu Habari zenu? Maana ya neno Killer ki Hebrew ni "Rotzach" na "southern." ni Dromi" kwa Pamoja ikimaanisha "destroyer of the south." Kwenye mpira wa miguu kumekuwa na nickname kwenye majina ya timu mfano Liverpool wanaitwa The Reds (Liverpool) wakirifaa hiyo red jerseys yao. Manchester...
  11. JanguKamaJangu

    Namungo FC yatangaza kuachana na Kocha Denis Kitambi

    Uongozi wa Namungo Fc unapenda kumshukuru Kocha Denis Kitambi kwa muda wote aliotumikia Timu kwa ushirikiano mkubwa ndani ya Timu yetu. Namungo Fc inamtakia kila la kheri Kocha Denis Kitambi katika safari yake ya ukocha nje ya Namungo Fc.
  12. uran

    FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

    Match Day! Simba SC Vs Namungo FC ⌚ 04:00pm 🏟️ Uhuru Stadium. Namungo anakutana na mnyama aliyejeruhiwa. Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Namungo Kikosi cha Namungo Kinachoanza All the Best Simba. #Nguvumoja# Mchezo umeanza 10' Simba wanaonekana kuwa na presha ya kutafuta matokeo...
  13. Mad Max

    FT: NBC Premier League: Kagera Sugar 1 - 1 Namungo FC | Kaitaba Stadium

    Kuanzia saa 1 jioni, hawa wanapambana.
  14. JanguKamaJangu

    FT: Namungo FC 0-2 Yanga, Ligi Kuu, Uwanja wa Majaliwa (Lindi), 07/12/2022

    90' Mwamuzi anamaliza mchezo 90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza 85' Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi Tuisila Kisinda anafunga goli la pili kwa Yanga 82' GOOOOOOOOOOO 75' Namungo FC wamepata nafasi kadhaa za kupiga mashuti langoni kwa Yanga 66' Bado mambo ni magumu kwa Namungo, wapo nyuma...
  15. C

    Namungo FC: Tutavaa Jezi Nyeusi Jumatano Wageni wavae Njano au Kijani la sivyo watulipe Tsh Milioni 200 wavae zao Nyeusi

    Katika kuonyesha kuwa Klabu ya Namungo inaelewa Mchezo mzima wa Jezi Nyeusi za Timu Moja nayo imeweka wazi kuwa Jumatano itavaa Jezi zao Nyeusi na kama kuna Timu inataka Kuvaa Jezi Nyeusi za Mganga wao wa Kienyeji basi wawalipe Tsh Milioni 200. Hata hivyo mpaka Mleta Uzi anaenda Mitamboni bado...
  16. Kitambi chakufutia tachi

    Namungo FC VS Simba SC

    Assalamu Alaykum. Kheri ya EID EL FITR wana jf wote leo itachezwa mechi kali kati ya NAMUNGO FC watakaoikaribisha SIMBA SC katika uwanja wa ILULU mkoani LINDI majira ya 10:00 jioni. Kwa masimulizi mubashara ya mtanange huu wa kukata na shoka baki katika uzi huu. EID MUBARAK...
  17. M

    Nasikitika Wadau wa Mpira hatumpongezi Mwamuzi wa leo aliyewachezesha Yanga SC na Namungo FC kwa Uchezeshaji mzuri na wa Kuigwa

    Mwisho wa Msimu wa Ligi Kuu hii ya NBC nisiposikia amepewa Tuzo sitawaelewa TFF. Leo amechezesha vyema na kwa Haki.
  18. P

    Yanga SC 2-1 Namungo FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium

    Leo tarehe 23/04/2022 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, vinara wa ligi Dar Young Africans almaarufu kama Yanga watashuka dimbani kuikaribisha timu ya Namungo FC kwenye mechi la NBC Premier League Nitakuwa nawe kukuletea yatakayojiri kwenye uwanja huo, mpira utaanza saa moja kamili usiku kwa saa...
  19. M

    Namungo FC mkijiamini, mkijitambua, mkiacha Utoto na kama baadhi yenu hamjahongwa nina uhakika leo Mnashinda au mnatoka Sare

    Kwa aina ya Complacency iliyoko Yanga SC kwa sasa endapo tu Namungo FC wataitumia vyema Kwanza kwa Kuwahesabia Yanga SC, kucheza kwa Nidhamu na Mikakati, wakiacha Utoto na Upuuzi ambao Wachezaji wengi wakicheza na Vilabu vya Simba na Yanga hua wanao, wakicheza Kitimu, Wakijiamini na Kupambana...
  20. M

    Kumbe Mechi ya Yanga SC na Namungo FC imelazimishwa ili Kocha Nabi atumikie Red Card yake na Mechi ya Derby awepo Benchini?

    TFF tambueni kuwa wakati nyie mkijifanya kuwa mna Akili tambueni kuwa kuna Watanzania wenye Akili kuwazidi halafu ni Wajanja kuliko nyie. Kwahiyo Matajiri wa Yanga SC wamewashawishi kwa kila namna huku wakiwapa chochote kitu ili muwapangie Mechi kabla ya kukutana na Simba SC ili Kocha wao Mkuu...
Back
Top Bottom